![]() |
| Mpiga bass wa bendi ya Super Kamanyola Bonny Chande akiwajibika jukwaani. |
![]() |
| Mkali mwenye sauti ya dhahabu aliyeweka maskani ndani ya Super Kamanyola Villa Park Rashidi Mwenzingo . |
![]() |
| Mkongwe mzoefu Parash Mukuley naye yu mmoja kati ya wana Super Kamanyola. |
![]() |
| Mpiga solo wa Super Kamanyola, Allan aka 'Alee' alishawahi kufanya kazi na Wenge BCBG na hata ziara ya JB Mpiana aliyoifanya hivi majuzi jijini Mwanza mkali huyu alitambulishwa. |
![]() |
| Aaaaah....!!!! |
![]() |
| Secon solo Joniko. |
![]() |
| Moto ya Le' Superb Super Kamanyola iko juu!! |
Tupe maoni yako








0 comments:
Post a Comment