Ekzaud Kiwali akiongea na watoto wa kituo cha Upendo Daima kilichopo Lumala wilayani Ilemela jijini Mwanza. Msikilize Bofya Play.. |
Uongozi wa juu wa kampuni ya Royal Oven pia walipata fursa ya kutembezwa idara mbalimbali za maeneo ya nyumba waishio watoto hao kama sehemu ya ukaguzi kuona changamoto zilizopo. |
Hii ni moja kati ya sehemu mbili zilizopo kituoni hapa kwa ajili ya kulia chakula ikitumika pia kama maktaba ya kujisomea kituo cha Upendo Daima |
Mkurugenzi wa Royal Oven ya jijini Mwanza Mwanabure Mberea akifurahia matandiko ya watoto wa kituo cha Upendo Daima, kituo ambacho kinaongozwa kwa misingi ya kumjua Mungu (chekshia matandiko) |
Royal Oven pia ilipata picha ya pamoja na watoto hao na walezi wao. |
Mkurugenzi wa Royal Trinity Bw. Leonard Shayo akipata pix na madaktari wetu wa kesho. Msikilize Bofya Play.. |
Hisia zinaanzia lango la chumba cha kulala. |
Royal Trinity wameamua kutoa msaada kwa kituo hicho ikiwa ili kuungana na makampuni mengine na watanzania wanaoguswa, walio mstari wa mbele kusaidia kuwezesha vituo vya watoto waishio mazingira magumu kuwa na tabasamu, na pia wakiunga mkono kauli za wadau wengine wanaoamini kuwa watoto hawa ni wetu sote. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.