TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
4 OCTOBA, 2012
Kampuni ya kusafirisha vifurushi ya DHL inatoa punguzo kwa kusafirisha vifurushi katika promosheni yake inayoendlea sasa!
Hayo yalibainishwa wakati Rais wa IBF Afrika, Masharikiu ya Kati, Ghuba ya Uarabu na Uajemi Onesmo Alfred McBride Ngowi alipotembelea ofisi zao leo katuka jingo la Peugeot . jijini Dar-Es-Salaam na kupiga picha na wafanyakazi wa DHL.
Ngowi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Baraza la Ngumi la Jumuiya ya Madola (CBC), Rais wa Shirikisho la Ngumi la Afrika ya Mashariki na Kati (ECAPBA) na Rais wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBC) alifurahiswa sana na huduma wanazotoa DHL na kuwahimiza wafanyakazi wake waendelee na kutoa huduma hizo nzuri!
Pichani Ngowi mwenye miwani akiwa amesimama na wafanyakazi wa DHL!
Imetolewa na
Uongozi
IBF Africa, mashariki ya kati na Guba ya Uarabu na Uajemi
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.