TBL YADHAMINI MASHINDANO YA KOMBE LA POLISI JAMII WILAYA YA ILEMELA NA
NYAMAGANA MKOANI MWANZA.
Regional Crime Officer-Mwanza Joseph M. Konyo akipokea kitita cha shilingi milioni moja kutoka kwa meneja matukio wa kanda ya ziwa Erick Mwayela, ili kufanikisha mashindano ya kombe la polisi jamii wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza.
Afisa upelelezi Patrick Kimaro akipokea pesa taslim sh 1,000,000/= kwa niaba ya Mkuu wa Polisi wilaya ya Ilemela kutoka kwa meneja matukio wa kanda ya ziwa Erick Mwayela kwa ajili ya mashindano ya Polisi jamii ya wilaya ya Ilemela Mwanza.
JAS yafanya kikao cha kufunga Mwaka 2025
-
Na Mwandishi Wetu Morogoro 27 Disemba, 2025.
Jumuiya ya Wanafunzi ya Jiba Active Students (JAS) imefanya kikao maalum
cha kufunga shughuli za Mwaka 2025...
0 comments:
Post a Comment