Ni mjengo mpya unaochipuka toka ardhini ukielekea juu unaotajwa kuwa utakuwa wa ghorofa nane, mjengo mali ya Mamlaka ya maji safi na maji taka jijini Mwanza (MWAUWASA) na hapa panatajwa kuwa ndipo patakuwa Makao makuu ya mamlaka hizo ambapo ofisi zake zote zitahama kutoka eneo lake la awali karibu na mahakama ya mwanzo wilaya ya Nyamagana. |
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.