ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, August 15, 2012

FLORAH AJITOLEA KUKARABATI BARABARA NDOGO JIMBO LA NYAMAGANA

KUKOSEKANA NA UTASHI WA KISIASA NA UCHELEWASHWAJI MPANGO MKAKATI WA RUZUKU YA MIUNDO MBINU YA BARABARA ZA PEMBEZONI ZA KWAMISHA SHUGHULI ZA JAMII JIMBO LA NYAMAGANA KWAPELEKEA FLORAH MAGABE KUJITOLEA KUKARABATI BARABARA MOJAWAPO  ZIFUATAZO NI BAADHI YA PICHA ZIKIONYESHA HARAKATI HIZO.


Vijana wanao ponda mawe ili kusawazisha barabara wakiwa kazini

Marie-kighei Kahungwa akikagua barabara ambayo imekuwa kero kwa watumiaji hususani wanafunzi waendao shuleni pamoja na matumizi ya watoto, walemavu na vikongwe wasio jiweza.

Vijana wanao ponda mawe wakiwa shughulini ili kusawazisha barabara ipate kupitika kwa maslahi ya wakazi wa maeneo hayo.
Vijana waponda kokoto kikazi zaidi.
'Si milima ya mawe tu! bali hata Miundo mbinu...!' Moja kati ya barabara mfano wa kuigwa zilizojengwa kwa kutumia mawe ndani ya jiji la Mwanza. Hii ni moja kati ya sifa kwa jiji la Mwanza kuitwa  Rock City.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.