Mkurugenzi mtendaji wa Mfuko wa Asasi za Kiraia Foundation for Civil Society. Bw. John Ulanga akiongea na washiriki wa mkutano huo juu ya ushiriki wa walemavu katika mchakato wa katiba nchini Mkutano uliandaliwa na Asasi za kiraia za watu wenye ulemavu nchini chini ya ufadhili wa The Foundation for Civil Society.uliofanyika katika Hotel ya Umbungo Plaza leo jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi wa Haki za Bianadamu kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora nchini, Bw;Francis Nzuki akiongea na washiriki juu ya kazi za tume na wajibu wake kwa jamii ya watu wenye ulemavu nchini.
Mmoja wa washiriki kutoka chama cha walemavu wa ngozi nchini akizungumzia changamoto wanazokabiliana nazo katika washa hiyo.
Mwanasheria na mmoja wa waliofanya utafiti kuhusu hali ya utekelezaji wa mkataba wa kimataifa wa fursa na haki kwa watu wenye ulamvau na sheria zilizopo nchini Bw;Crarence Kipobotoca akiwasilisha utafiti kwa washiriki hao.
Baadhi ya washiriki walioudhuria mkutano huo wa siku tatu unaoendelea Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.