VICTORIA FOUNDATION mwishoni mwa wiki imekabidhi msaada wa chakula kwenye kituo cha kulea watoto yatima kinachoitwa FTI - Masumbwe (Feed and Tend International) kilichopo mkoani Geita wilaya ya Bukombe
Wadau toka Victoria Foundation wakishusha chakula kwa kituo hicho.
Ukitengeneza tabasamu la japo siku moja kwa mtoto anayeishi mazingira magumu ni thawabu kubwa kwa Muumba, blogu hii (G. SENGO) itaendelea kutoa ushirikiano kwa wale wote wenye mapenzi mema kwa jamii kama mfano unaoonyeshwa na Victoria Foundation.
Bango la kituo...
Mheshimiwa Vick Kamata ndani ya chombo cha usafiri hapa akiwa mkoani Mwanza akitokea mkoa mpya wa Geita kwa ajili ya shughuli mbalimbali za maendeleo.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.