Mwandishi wa habari Hussein Mtanda aliyepata ajali hivi karibuni nakupoteza jicho lake la kushoto hatimaye leo karuhusiwa kutoka hospitalini ambako alikuwa akipatiwa matibabu katika hospitali ya rufaa ya Bugando jijini Mwanza, na yafuatayo ni maneno yake:-
"Jamani nashukuru kwa moyo wa pamoja mlio nionyesha kuanzia nilipo ugua mpaka sasa, kwakweli Mungu awabariki, ninavyozungumza niko nyumbani kwa mapumziko. AKSANTENI SANA"
Arusha Yasimama Kwenye Maombi: Miaka 63 ya Uhuru
-
Viongozi wa dini ,mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda na wananchi
wakiendelea na maombi katika matembezi ya kuombea mkoa wa Arusha na
maathimisho ya mi...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.