Katibu mkuu wa shirikisho la soka Tanzania (TFF) Angetile Osiah amerejea akiwa mzima wa afya baada ya operesheni ya kichwa nchini India. (picha juu ni kichwa chake baada ya kufanyiwa upasuaji)Angetile Osiah ambaye hapo awali alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wodi ya taasisi ya Mifupa (MOI) alipelkwa Nchini India kwa matibabu zaidi mara baada ya vipimo kufanyika na ushauri wa jopo la madaktari nchini kutolewa.
Mungu ashukuriwe.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment