LAKINI NILIMUANDIKIA KAMANDA KOVA ILI AMPE MSAADA KWA AJILI YA MAZOEZI YA PAMBANO HILI LA UTETEZI NAYE ALIMUITA KARAMA NA FRANCIS MIYEYUSHO HIVYO SIPENDI KUHUSISHWA NA KUNYANG'ANYWA KWAKE UBINGWA MAANA KAMA MMOJA WETU AKIIDHINISHA TU PAMBANO KATI YA KARAMA NA CHEKA BASI UBINGWA UTAMTOKA MARA MOJA .
PST HAIWEZI KUTOA KIBALI CHA PAMBANO KATI YA CHEKA NA KARAMA KWA KUWA KUTOA KIBALI HICHO NI KUIDHINISHA KARAMA KUNYANG'ANYA UBINGWA WA DUNIA WA WBF. PST HAIFAHAMU LENGO LA PROMOTA KYANDO KULAZIMISHA PAMBANO AMBALO LITAMPOTEZEA UBINGWA MTANZANIA PEKEE MWENYE HADHI DUNIANI LINAPOHUSIKA SWALA LA MICHEZO.
HAKUNA MCHEZO WOWOTE AMBAO TANZANIA IMEFANYA VYEMA ZAIDI YA MASUMBWI YALIYOFANYWA NA KARAMA NYILAWILA.
NA IWAPO UBINGWA UATAMTOKA KWA NJIA YA KIJINGA NAMNA HII MAANA FRANCIS CHEKA YUPO HAPA HAPA TZ NA PAMBANO HILI LINAWEZA KUCHEZWA BAADA YA TAREHE 11 FEB 2012 BASI JUHUDI ZA KAMANDA KOVA KUULIPIA MKANDA HUO ZITAKUWA ZILIKUWA NI ZA BURE AIDHA KUMSADIA KWAKE KARAMA KWA HALI NA MALI ITAKUWA KAMA INA FULANI YA KUMTAPELI NA HIVYO PST HAIPENDI KUHUSISHWA NA HILI.
TPBO WAMEKWISHA KUTOA TAMKO LA KUTOMPA KIBALI PROMOTA KYANDO MPAKA BAADA YA PAMBANO LA UBINGWA HIVYO TPBC WAKIMPA KIBALI WAJUE WAZI KUWA WATAKUWA WAMEIDHISHA KARAMA KUNYANG'ANYWA UBINGWA WA DUNIA,
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.