ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, May 30, 2011

JK ZIARANI MWANZA LEO AZINDUA BARABARA YA USAGARA - GEITA

INAENDELEA........


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi Barabara ya Usagara - Geita leo asubuhi. Barabara hiyo yenye urefu wa kilometa 90imejengwa kwa thamani ya shilingi bilioni 78zilizotolewa na serikali ya Tanzania. Kutoka kushoto Mkuu wa mkoa wa Mwanza Abbas Kandoro, Katibu Mkuu Ujenzi Herbert Mrango, Waziri wa Ujenzi John Pombe Magufuli,Mbunge wa Misungwi ambaye pia ni Naibu Waziri Sayansi na Teknolojia Charles Kitwanga na Mkurugenzi mkuu TANROADS Injinia Patrick Mfugale.

Msafara wa Mh.Rais barabara ya Nyerere.

Jijini hapa inapotokea msafara wa waheshimiwa basi 'TATIZO', na kama uko kwenye daladala shukaaa TEMBEA KWA MIGUU, kwani utasubiri nusu saa Foleni kama ya kwa babu.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.