Bao hilo limefungwa na Dirk Kuyt katika dakika ya 86, kufuatia mpira wa kona uliopigwa na Raul Meireles. Katika mchezo wa mwanzo timu hizo mbili zilitoka sare. Huu ni Ushindi wa kwanza Ulaya kwa kocha Daglish.Rangers nayo ya Scotland ilisonga mbele kwa goli la ugenini baada ya kutoka sare ya 3-3 na Sporting. Katika mchezo wa kwanza timu hizo zilitoka sare ya 2-2 kwenye uwanja wa Rangers.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment