UZINDUZI NI KATIKA UKANDA UNAOJUMUISHA MIKOA SITA AMBAPO WITO UMETOLEWA KWA VIJANA WALIO CHINI YA UMRI WA MIAKA 17 KUJITOKEZA KWA WINGI ILI KUTUMIA NAFASI HII YA KIOPEKEE KUONYESHA VIPAJI VYAO. MENEJA MASOKO NBCL BHUBHINDER SINGH AKIZUNGUMZA JUU YA KURIDHISHWA KWAKE NA MCHANGO WA KAMPUNI YAKE KATIKA MAENDELEO YA SOKA NCHINI.
MKURUGENZI WA NBCL BW. GACHUMA AKIRUSHA MPIRA JUU KUMPASIA MKUU WA WILAYA YA ILEMELA MH. SIRENGO MURENGO KUASHIRIA UZINDUZI HUO.
MH. MKUU WA WILAYA YA ILEMELA AKIMKABIDHI MIPIRA MWENYEKITI WA CHAMA CHA SOKA MKOA WA MWANZA (MRFA) SONGORA.
" MWAKA 2010 COCA COLA IMEBORESHA MASHINDANO YA COPA COCA COLA KATIKA MAENEO YOTE TUMETOA BIBS, SHIN GUARDS NA VIFAA VYOTE MUHIMU KATIKA MICHEZO MSHINDWE NYIE TU" SAYS GACHUMA.
MKUU WA WILAYA NAYE AKITOA SOMO.
SEHEMU YA MAKOCHA WATIMU ZITAKAZO SHIRIKI COPA COCA COLA U17 AMBAO WENGI WAO WAMEKIRI KUWA IDADI YA TIMU ZINAZOJISAJILI KUSHIRIKI MASHINDANO HAYO IMEKUWA IKIONGEZEKA MWAKA HADI MWAKA.
VIONGOZI NA WADAU WA BNCL KATIKA PICHA YA PAMOJA.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.