NA. ALBERT G.SENGO/MWANZA
Benki ya Stanbic imeonesha tena dhamira yake ya kusaidia jamii kwa vitendo, baada ya kukabidhi vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 19 kwa uongozi wa Mkoa wa Mwanza. Vifaa hivyo ambavyo ni pamoja na vitanda vya wagonjwa, mashuka na viti mwendo, vitapelekwa katika Hospitali za Halmashauri ya Jiji la Mwanza na Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela, ili kusaidia katika utoaji wa huduma bora za afya. Kutoka kwa mwanahabari wetu Albert G. Sengo., anashuka na taarifa kamiliTupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment