Julai 01, 2025, kesi mbili zinazomkabili Tundu Lissu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa ziliendelea katika Mahakama ya Kisutu Dar es Salaam kesi hizo ni ile ya Uhaini na nyingine ya uchochezi ambazo zote zimesikilizwa katika mahakama hiyo.
Kesi ya kwanza iliyoanza ilikuwa ya uhaiani ambayo inamkabili Tundu Lissu na baadaye kesi ya uchochezi ikasikilizwa.Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment