NA ALBERT G.SENGO/MWANZA
Mwanza yazidi kung’ara! Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kutua jijini Mwanza kwa ziara ya siku tatu yenye uzinduzi, hotuba na shamrashamra za kiutamaduni. RC Said Mtanda atoa wito: Wananchi, jitokezeni kwa wingi kumlaki Mama Samia – amani, mshikamano na uzalendo ndio silaha yetu!Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment