NA ALBERT GSENGO/MWANZA
"Katika Jiji la Mwanza, sauti ya furaha ya kuzaliwa kwa mtoto imeanza kuchanganyika na hofu—hofu ya changamoto zinazowakumba wakinamama wanaojifungua watoto njiti. Katika kipindi cha miaka ya hivi karibuni, hospitali za jijini hapa Hospitali ya Mkoa ya Sekoutore na Hospitali ya Rufaa ya Bugando zimeshuhudia ongezeko la visa vya watoto kuzaliwa kabla ya wakati yaani majuma 36, hali inayozua maswali kuhusu afya ya mama, mazingira, na mifumo ya huduma za afya. Wito umetolewa kwa serikali kufanya utafiti ili kubaini sababu za hali hiyo.Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.