“Sisi tunaweza kumaliza pia tukiwa kinara kwenye hili kundi” maneno ya Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe akilichambua kwa undani kundi lao kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL).
Kamwe pia ameuchambua mchezo wao wa leo dhidi ya Al Hilal huku akimtaja Kocha Florent Ibenge. Kamwe amesema wachezaji wa Yanga wanaogelea pesa kutokana na motisha ambayo amekuwa akiitoa Mfadhili na Mdhamini wao Ghalib Said Mohamed (GSM) #YangaSafarini #YangaMauritania #AlHilal #YangaSC #AlHilalYanga #CAFCL #CAFChampionsLeagueTupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.