ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, June 15, 2024

RC KUNENGE AMKABIDHI MIKOBA RASMI DC MPYA WA KISARAWE MAGOTI

 NA VICTOR MASANGU, PWANI.

Mkuu mpya wa Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani Mhe.Petro Magoti ameapishwa leo rasmi  na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Alhaji Abubakari Kunenge na kuahidi hatokuwa kikwazo chochote katika kusikiliza kero na changamoto za  wananchi bila ubaguzi kwa mujibu wa sheria na taratibu za nchi.

Kauli hiyo ameitoa wakati wa halfa fupi ya uapisho wake uliofanyika katika Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Pwani na kusema kwamba  ameteuliwa  na  Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan hivyo atatimiza wajibu wake ipasavyo kwa weledi na uadilifu mkubwa kwa kushirikiana na viongozi wenzake.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.