NA ALBERT G.SENGO/MISUNGWI/MWANZA
Kauli mbiu ya ‘Siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani’ mwaka huu inasema 'Wekeza kwa Wanawake kuharakisha maendeleo ya taifa na ustawi wa jamii', ikiwa ni utejelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDG’s-2030) likiwemo la usawa wa jinsia, kupunguza tofauti ya kiuchumi na kutokomeza umaskini.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.