NA ALBERT G. SENGO/MWANZA
Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza Thomas Salala:- - "Inafika wakati tuchukuwe hatua kwaajili ya maslahi mapana ya watu wetu" - "Kipindupindu kinazuilika, tusipochukuwa tahadhari za usafi huu ugonjwa tutakaa nao kwa muda na makatazo yatakuwa mengi na hii itakuwa hasara kwenu, tusioneane aibu kwenye mabo ya msingi" Afisa wa Mazingira Mkoa wa Mwanza:- - "Kama tulivyofanya kipindi cha COVID kila mwananchi ahakikishe kwenye eneo lake ana chombo cha maji ya kunawa na sabuni pamoja na chombo cha kutupia taka" - Katazo limeshatoka kwa wafanyabiashara wanaotembeza maembe, karanga na ndizi huku wakipanga chini, tukikunasa jela miezi 6 inakuhusu na hakuna kutozwa faini" #kipindupindu #mwanza #samiasuluhuhassanTupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.