VICTOR MASANGU/PWANI/TUMBI
HOSPITALI teule ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani Tumbi iliyokuwa inakabiliwa na changamoto ya usafiri wa uhakika kwa watumishi wake hatimaye imepata msaada wa gari jipya ambalo limetolewa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa lengo la kuboresha sekta ya afya.
Hayo yamebainishwa na Mganga mfawidhi wa hospitali ya Tumbi wakati wa halfa fupi ya kukabidhiwa gari hilo na mgeni rasmi Mbunge wa Jimbo la Kibaha mji Silvestry Koka kwa niaba ya serikali ikiwa ni utekelezaji wa ilani ya CCM kwa vitendo.
Amani Malima ni Mganga Mfawidhi hospitali ya Rufaa ya Tumbi.
Benedicto Ngaiza Mganga Mkuu wa Mkoa wa Pwani.
Silvester Koka ni Mbunge wa Jimbo la Kibaha mjini.
Robert Shilingi ni Mkurugenzi wa Shirika la Elimu Kibaha.
HOSPITALI teule ya rufaa ya Mkoa wa Pwani Tumbi iliyopo Wilayani Kibaha ilianzishwa mnamo mwaka 1967 ambapo kwa sasa inawahudumia wagonjwa zaidi ya 500 kwa siku kutoka maeneo mbali mbali.
WAZIRI SANGU: MADEREVA 800 WAAJILIWA QATAR
-
Na. OWM-KAM, Dar es Salaam
Serikali ya Awamu ya Sita imesema inajivunia ushirikiano wa kidugu ulipo
kati yake na Taifa la Qatar ambao umesaidia kukuza dip...
WAZIRI SANGU: MADEREVA 800 WAAJILIWA QATAR
-
Na. OWM-KAM, Dar es Salaam
Serikali ya Awamu ya Sita imesema inajivunia ushirikiano wa kidugu ulipo
kati yake na Taifa la Qatar ambao umesaidia kukuza...
0 comments:
Post a Comment