Hivi karibuni Mamlaka ya hali ya hewa nchini Tanzania (TMA) ilitoa taarifa juu ya uwepo wa kutokea kwa mvua za El Nino kwa asilimia 60.
Lakini je mpaka mvua hizi za El Nino kunyesha kuna viashiria gani na je athari ni zipi zinazoweza kujitokeza? Kwa upande wa Kanda ya Ziwa Mvua hizi zinazoendelea kunyesha katika baadhi ya maeneo nizile zipo ndani ya msimu ama? na zitaendelea ama kuisha baada ya muda gani? Ikiwa tunashuhudia matukio ya vifo vinavyotoka na maji elimu elekezi inawafikiaje wahusika ikiwa ni pamoja na Wavuvi, nakwa njia ipi naje kuna gharama yoyote ya namna ya kupata taarifa za hali ya hewa lakini kuna tafadhali zozote na umuhimu wa kufatilia taarifa hizi MENEJA MAMLAKA YA HALI YA HEWA KANDA YA ZIWA AGUSTINO NDUGANDA ANAELEZA ZAIDITupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.