NA ALBERT G. SENGO/MWANZA
Timu ya soka ya Kitayosce ya Tabora imeendelea kujiimarisha katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi daraja la kwanza baada ya kutoka sare ya 0-0 ugenini dhidi ya Pamba Fc Wanakawekamo mchezo uliopigwa dimba la Nyamagana jijini Mwanza. Mchambuzi wa michezo Jacob Mlay wa Jembe Fm anazungumza na mfungaji anayeongoza kwa magoli kwenye ligi hiyo, Ngoy Ngoy Fabrice mwenye magoli 13 mpaka sasa akiwa sawa na mchezaji Edward Songo wa #JKTTanzania #sportripoti #mwanza #tff #taboraTupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.