NA ALBERT G. SENGO/MWANZA
Ni katika zoezi la upandaji miti lililofanyika katika Chuo Cha Ualimu Butimba kupitia kampeni endelevu inayoratibiwa na Bank ya #NMB pamoja na wakala wa usimamizi wa misitu #Tanzania #TFS lengo likiwa ni kutunza mazingira nchini.
#Ofisiyamakamuwakwanzawaraismazingira
#samiasuluhuhassan
#mazingira
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment