NA ALBERT G.SENGO/MWANZA
Wakati wimbi la kuwanyima haki za kibinadamu kwa kuwaficha ndani watu wenye mahitaji maalum hasa watoto likitajwa kushamili katika jamii, Serikali imewataka wazazi kutojishusisha na vitendo hivyo, kwa kuwa ni ukiukwaji wa kisheria wa haki za binadamu. Katika makabidiano ya msaada wa fimbo kwa watu wenye uono hafifu na baiskeli za viti mwendo 70 kwa wenye mahitaji maalum, mkuu wa mkoa wa Mwanza Adam Malima, amesema yeyote atakayebainika kujihusisha na vitendo hivyo hatua kali zitachukuliwa dhidi yake.Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.