"Hukumu katika ombi hili itatolewa leo Jumatatu, tarehe 5 Septemba, 2022, saa 6 mchana katika Mahakama ya Juu ya Kenya ya Milimani," taarifa kutoka kwa msajili mkuu wa mahakama ya juu ilisoma.
Mahakama hiyo inatarajiwa kushikilia au kubatilisha ushindi wa Rais Mteule William Ruto katika chaguzi za Agosti 9.
Azimio pia walidai kuwa IEBC haiwezi kuhesabu kura 250,000, bila kujumuisha kura zilizopigwa.
Raila na mgombea mwenza waliitaka mahakama kuu kuwatangaza rais mteule na naibu rais mteule mtawalia.
Raila pia alitaka ukaguzi wa kina na wa kitaalamu wa vifaa na teknolojia zote zilizotumiwa na tume ya uchaguzi katika uchaguzi wa urais.

Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.