Naibu katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara CHRISTINA MNDEME akitia saini kitabu cha maombolezo alipofika nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Kwimba mh.SHANIF MANSOOR ,ambaye Agosti 6,Mwaka huu alifiwa na Mama yake MALEKSULTAN MANSOORALI HIRANI,Ambapo Maziko yake yamefanyika Agosti 11,Mwaka huu Jijini Mwanza.
Mbunge wa jimbo la Kwimba mkoani Mwanza mh. SHANIF MANSOOR,(Mwenye suti Nyeusi) Akiwa na familia yake, Akimpokea Naibu katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara,CHRISTINA MNDEME,Alipofika nyumbani kwa Mbunge huyo,Jijini Mwanza Kuhani Msiba wa Mama wa Mbunge huyo,MALEKSULTAN MANSOORALI HIRANI.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.