ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, March 31, 2020

MAUAJI YA MTOTO WA MIAKA 13 KIAMAIKO.


Kiongozi wa mashtaka ya umma Noordin Haji ameagiza uchunguzi wa kisa cha mauaji ya kijana mmoja wa miaka 13 anayedaiwa kupigwa risasi na maafisa wa polisi katika eneo la Kiamaiko hapa Nairobi jana usiku.

Kijana huyu anasemekana kuwa kwenye roshani ya nyumba yao akitazama yaliyokuwa yakiendelea. Kwa sasa kijana huyo anatazamiwa kuzikwa katika maziara ya Kariako hapa Nairobi.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.