ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, November 12, 2019

TUJENGE UTAMADUNI WA KUIBUA CHANGAMOTO, KUTOA MAPENDEKEZO NA KUSHIRIKI KUTATUA RC MWANZA



Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella akizungumza kwenye Mkutano wa Wasaa wa Marafiki wa Habari mkoani Mwanza ulioandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa Mwanza (MPC) Novemba 09, 2019.
Mwenyekiti wa MPC, Edwin Soko akitoa neno la ufunguzi kwa niaba ya wanahabari mkoani Mwanza.
Mwenyekiti wa MPC, Edwin Soko akitoa salamu za ufunguzi kwenye mkutano huo ambapo alisema chama hicho kinaendelea na mikakati yake ya kutekeleza miradi ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa ofisi na uanzishaji wa redio pamoja na luninga ya mtandaoni.



Mwanahabari Alex Mchomvu akichangia mada kwenye mkutano huo.

 Mwanahabari wa siku nyingi, Shija Malando ambaye kwa sasa ni diwani wilayani Kwimba akitoa uzoefu wake kwenye mkutano huo.
Wanahabari na marafiki wa habari mkoani Mwanza wakifuatilia mkutano huo.
Mkurugenzi wa UTPC, Abubakar Karsan akizungumza kwenye mkutano huo ambapo aliahidi milioni 100 kwa MPC ili kuimarisha utendaji wake.


Mwenyekiti Mstaafu wa MPC, Jimmy Luhende ambaye kwa sasa ni  mkurugenzi wa taasisi ya ADLG akisherehesha mkutano huo.
Wanahabari na marafiki wa habari mkoani Mwanza wakifuatilia mkutano huo.




Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.