ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, July 2, 2019

KWAHERI DANIEL S. KASEKO 1940 2019 Hatimaye mwili wa Baba yangu Mkubwa Daniel S. Kaseko umeagwa leo nyumbani hapa Nyakato Jijini Mwanza ambako alikuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando na kisha kusafirishwa kuelekea katika kijiji cha Malampaka wilayani Maswa mkoani Simiyu kwaajili ya mazishi yatakayofanyika Jumatano ya tarehe 3 july 2019.

Sote watoto, wajukuu, vitukuu, vilembwe. familia nzima ndugu jamaa na marafiki tunafarijiwa na maandiko matakatifu kupitia - 2 Timotheo 4:7 Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda. AMEN

BY Albert.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.