ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, June 14, 2019

POLISI TANZANIA ZANZIBAR YABANWA MBAVU NA WABABE KUTOKA ARUSHA


Jembe Mirjam Volleyball Championship 2019 imekamilika katika siku yake ya pili Alhamisi ya tarehe 13 Juni 2019 katika viwanja vya Mirongo jijini Mwanza.

Mchezo ukikamilika Pentagon kutok mkoani Arusha wakifanikiwa kuibuka washindi baada ya kuongoza Set 3 na Polisi Tanzania Zanzibar wakitoka na Set 1

Mgeni rasmi wa mchezo huo wa pili alikuwa Mkurugenzi wa Jembe Media Group Dr. Sebastian Ndege ambaye pamoja na kueleza kwa nini aliamua kujitosa kudhamini mashindano hayo pia ametumia mwana huo kueleza wazi mipango ya baadaye kwa Jembe Fm kuingia katika masafa ya redio mikoani mbalimbali hapa nchini.





Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.