ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, May 14, 2019

UTATA JUU YA TAARIFA YA KUJIRUSHA TOKA GHOROFANI HADI KUFA MWANZA



JIJI la Mwanza Jumatatu ya tarehe 13 Mei 2019 kumekucha na tukio la kustusha, pale ambapo umati wa wananchi ulipokushanyika mbele ya hoteli maarufu jijini hapa ya Gold Crest iliyo kwenye Jengo la PPF Plaza, lenye ghorofa nane, umati huo ulikuwa ukimwangalia jamaa anayetajwa kufariki dunia nayo sababu kubwa toka kwa baadhi ya tuliozungumza nao wakisema kuwa mtu marehemu huyo wanahofia kuwa amejirusha toka juu ghorofani hapo.

Kamanda wa Jeshi la polisi mkoa wa Mwanza Jumanne Muliro amesema kuwa uchunguzi kwa hatua za awali unaonesha kauli za wananchi kukinzana na uchunguzi wa awali walioufanya.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.