Rais John Magufuli arejea nchini kutoka Zimbabwe ambapo amepokelewa na viongozi mbalimbali wakiwemo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jen. Venance Mabeyo.
Utakumbuka May 28 mwaka huu ndipo Rais Magufuli aliwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Robert Mugabe Jijini Harare nchini Zimbabwe na kupokelewa rasmi na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe Mhe. Emmerson Mnangagwa.
Arusha Yasimama Kwenye Maombi: Miaka 63 ya Uhuru
-
Viongozi wa dini ,mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda na wananchi
wakiendelea na maombi katika matembezi ya kuombea mkoa wa Arusha na
maathimisho ya mi...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.