ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, May 21, 2019

TUNATENGENEZA TAIFA LA KESHO LA AINA GANI?



MOJA ya mbinu za kutatua changamoto mbalimbali za vitendo vya ukatili  (hasa zile zilizofichika) zilizopo kwa watoto na wasichana ni kuwashirikisha katika kutafuta ufumbuzi wake, wengi wetu hudhani kuwa kupitia uchunguzi tu na hatua zetu za maamuzi kama wazazi na wadau wa sheria ndiyo suluhu la kumaliza masahibu yanayowakuta kumbe la-hasha, kwa hatua hiyo tunakuwa tumekataza tu lakini hatujaondoa mzizi wa changamoto.

Hebu safiri nasi hadi Shule ya Sekondari Kilabela iliyopo wilayani Senerema mkoani Mwanza kujionea jinsi wadau wa Maendeleo Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu Sayansi na Utamaduni UNESCO wakishirikiana na FAWE Tanzania kupitia ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Korea ya Kusini (KOICA) wanachofanya......

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.