ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, October 2, 2018

MONGELLA AIPA MBINU MPYA MAMLAKA YA MAJI SAFI MKOA WA MWANZA



GSENGOtV

Katika kuboresha ufanisi wa utendaji, ukusanyaji wa mapato, kuhakikisha huduma ya maji inafika kila kona ya jiji la Mwanza na pia kuondokana na suala la upotevu wa maji, Mamlaka ya Maji Safi Mkoa wa Mwanza (MWAUWASA) imekabidhi zawadi na Kombe kwa watumishi wake waliofanya vyema katika ukusanyaji wa mapato kwa kanda mbalimbali zilizotengwa ndani ya mkoa.

Shuhudia kipi kimezungumzwa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella, Mwenyekiti wa Bodi pamoja na Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo mwanzoni mwa wiki hii Tarehe Mosi October 2018. 




Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.