ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, September 5, 2018

VIDEO:- KILICHOTOKEA AJALI YA GARI LA WAANDISHI WA HABARI MSAFARA WA RAIS



UKEREWE/GSENGOtV 

Magari matano yaliyokuwa kwenye msafara wa Rais John Magufuli likiwamo moja la waandishi wa habari yalipata ajali na kusababisha majeraha madogo kwa waandishi wawili na mwingine kuzimia kwa muda kutokana na hofu.

Katika ajali hiyo, magari mengine manne yaliyokuwa nyuma yaliparamiana huku moja likipinduka na kulala ubavu.

Albert G Sengo ni mwakilishi wetu Team Kazi na Ngoma ya Jembe Fm naye alikuwepo kwenye msafara huo lakini yeye yuko salama, na hapa anazungumza na mmoja wa majeruhi....

UPDATES
Hali ya Rose Jacob, Mwandishi  wa habari kwa sasa ikiwa ni saa 11:00 asubuhi ya siku ya Jumatano 5/Agosti/2018 sio nzuri amelazwa Hospitali ya Mkoa wa Mwanza Sekou- toure, hii imetokana na ajari iliyo tokea jana kwenye Msafara wa Rais, uliyo kuwa unaelekea Ukerewe .

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.