Panya ni mnyama anayeishi katika mazingira tunayoishi na hapendwi sana na binadamu kutokana na tabia yake ya uharibifu ila kwa leo tambua tabia zake hizi:
1. Ni mnyama anayeongoza kwa kufanya ngono kuliko mnyama yeyote duniani, huzaa watoto takribani milioni 1 ndani ya miezi 18.
2. Anauwezo wa kuishi mda mrefu bila kunywa maji zaidi ya kiumbe yeyote hapa duniani.
Najua wajua ila hapa nakufanya ujue zaidi au uamini kile unachokifahamu.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.