Mwenyekiti aliambatana na Mhe Mbunge wa Jimbo la Maswa Mashariki na Naibu Waziri wa Madini Stanislaus Nyongo, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Mkuu wa Wilaya ya Meatu, Mwenyekiti wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Simiyu Ndugu Lumen Mathias, Mjumbe wa Baraza Kuu Taifa Bi. Rose Manumba, Mjumbe wa Baraza Kuu Taifa Shaban Kiduta na wajumbe wa Kamati za Siasa Mkoa na Wilaya.
Mwisho, Mwenyekiti wa Vijana Taifa amewaomba Watanzania kuendelea kuwaombea Majeruhi wa Ajali ambao Mchana wa leo wamesafirishwa kwenda Hospitali ya Taifa ya Mhimbili kitengo cha Mifupa (MOI).
Lumen Mathias.
Mwenyekiti wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Simiyu.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.