Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohamed Ghalib Bilal akizungumza wakatiwa Mashindano ya Kusoma Kurani, yaliyofanyika leo katika kiwanja cha Mapinduzi kilichopo Kikwajuni visiwaniZanzibar.Wapili ni Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni ambae pia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi.ndio
Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohamed Ghalib Bilal akimkabidhi zawadi,Salha Mohamed Khamis, baada ya kuibuka mshindi wa juzuu tano wa Mashindano ya Kusoma Kurani,yaliyofanyika leo katika kiwanja cha Mapinduzi kilichopo Kikwajuni visiwani Zanzibar.Wakwanza kulia niMwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni,Saleh Nassoro Jazeera na Mbunge wa Jimbo hilo, Mhandisi HamadMasauni(watatu kulia)
Mshiriki wa Mashindano ya Kusoma Kurani, Salha Juma Sadalla akisoma kurani wakati wa mashindanoyaliyofanyika leo katika Kiwanja cha Mapinduzi kilichopo Kikwajuni visiwani Zanzibar.
Mshiriki wa Mashindano ya Kusoma Kurani, Abdilbaswit Hamis Hassan, akisoma kurani wakati wa mashindanoyaliyofanyika leo katika Kiwanja cha Mapinduzi kilichopo Kikwajuni visiwani Zanzibar.
Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohamed Ghalib Bilal akisalimiana naMbunge wa Jimbo la Kikwajuni, ambae pia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi HamadMasauni, baada ya kuwasili kiwanja cha Mapinduzi ambako alikuwa mgeni rasmi kwenye Mashindano yaKusoma Kurani, yaliyofanyika leo visiwani Zanzibar.Wapili kulia ni Mwakilishi wa Jimbo hilo, Saleh NassoroJazeera.
Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohamed Ghalib Bilal (watano kulia mstariwapili) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Jimbo la Kikwajuni na washindi wa Mashindano ya KusomaKurani baada ya kuwakabidhi zawadi.Mashindano hayo yamefanyika katika Kiwanja cha Mapinduzi visiwaniZanzibar.
Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohamed Ghalib Bilal, akiwaaga wananchi(hawapo pichani), waliohudhuria hafla ya Mashindano ya Kusoma Kurani, yaliyofanyika leo katika kiwanja chaMapinduzi kilichopo Kikwajuni visiwani Zanzibar.Wakwanza kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, ambaepia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni na kulia ni Mwakilishi wa jimbo hilo,Saleh Nassoro Jazeera.Picha na Mpiga Picha Wetu
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.