NA AMIRI KILAGALILA NJOMBE/WANGING'OMBE
GSENGOtV
Wakulima wa zao la mahindi wilayani wanging'ombe mkoani Njombe wameiomba serikali kuwasaidia kuboresha na kutafuta soko la zao hilo kutokana na hali ya mavuno iliyopatikana kwa kiasi kikubwa na kuwalazimu kuuza debe moja kwa sh.3,500/= kutoka 15,000/= ya mwaka juzi na mwaka jana huku wengi wao kuhifadhi katika maghala kwa mda mrefu ili kusubiri soko la zao hilo.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.