MKE wa Mfalme wa Swaziland King Mswati III, anayefahamika kwa jina la Senteni Masango amefariki dunia kwa kile kinachodaiwa kujiuwa, magazeti nchini humo yanaripoti.
Kwa mujibu wa habari iliyoripotiwa na gazeti moja nchini Afrika ya Kusini la Mpumalanga linasema kuwa mama huyo amefariki akiwa ameacha watoto wawili na alijiuwa baada ya kumeza tembe 40 za kutibu magonjwa ya akili.
Pia inasemekana kuwa ni wiki mbili zimepita sasa baada ya kufariki dada yake tumbo moja wa marehemu mke huyo wa mfalme, huku taarifa za ndani zikisema kuwa mke huyo kuna kipindi aliishi ndani ya jumba kubwa la Mfalme Mswati kwa kipindi cha miaka mitatu bila kutoka nje wala kutembelewa na mumewe.
Aidha Mfalme Mswati alimzuia kwenda kwenye mazishi ya dada yake wala kuhudhuria tukio la utoaji heshima za mwisho na huenda hiyo ikawa ndiyo sababu ya kujiuwa.
Sentemi Masango, maarufu kwa jina la Inkhosikati LaMasango, alikutwa amefariki dunia mapema alfajiri ya ijumaa mwishoni mwa wiki iliyopita na kuzikwa siku ya Jumapili asubuhi.
King Mswati wa III alimchagua Masango kuwa mke wake mnamo mwezi September 1999, wakati akiwa na umri wa miaka 18.
It soon emerged she had a record for truancy, poor grades, was a high-school dropout and a rebel.
Mwaka jana, Mfalme Mswati wa III aliowa mke wake wa mpya Ms Siphelele Mashwama aliyekuwa na umri wa miaka 19.
Ni utamaduni na imezoeleka kuwa Mfalme wa Swazi huchagua mke kila mwaka kupitia sherehe kubwa maarufu (Reed Dance ceremony), ambayo pia inajulikana kama Umhlanga.
Sherehe hizo hufanyika kila mwaka kwa mujibu wa watu wa tamaduni za asili ya Swazi na Zulu na hufanyika mwezi August au September.
In Swaziland, tens of thousands of unmarried and childless girls and women travel from the various chiefdoms to participate in the eight-day event, and would-be brides are publicly checked to ascertain their virginity.
The Kingdom of Swaziland is one of the world’s last remaining absolute monarchies.
King Mswati III was crowned in 1986 at the age of 18, succeeding his long-serving father King Sobhuza II, who died at the age of 82.
Nchi ya Swaziland, kwa mujibu wa Unicef, ina kasi kubwa ya maambukizi ya HIV/Aids duniani. ambapo takribani watu 210,000 Swazis nchini humo wanamaambukizi a HIV.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.