ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, April 22, 2018

ADHA ZA MVUA NA WAKAZI WA MABATINI JIJINI MWANZA NYUMBA WANAZOISHI NI ZAIDI YA MAJARUBA YA MPUNGA


Mvua zinazoendelea kunyesha nchini zimeendelea kuleta uharibifu mbalimbali wa miundombinu kama barabara na madaraja na kupelekea baadhi ya huduma muhimu za kijamii kusimama katika maeneo husika kutokana na Uharibifu huo.

Gsengo Tv kwa udamini wa TTCL kupitia kipindi cha KAZI NA NGOMA kinachoruka ndani ya radio Jembe Fm 93.7 mwishoni mwa wiki imeafanya ziara kutembelea eneo korofi jijini Mwanza eneo la Mabatini kuona jamii inaishije na jeh iko salama? Na vipi kuhusu mikakati na mipango yao ya baadae, Jeh atapona mtu na mvua hizi? 

Safiri nasi.......

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.