Baadhi ya wananchi walioathiriwa na tukio hilo wamesema, tetemeko, radi na mvua hiyo ilianza saa nane za usiku wa kuamkia jana lakini kwa bahati nzuri hakuna aliyejeruhiwa baada ya kuwahi kujiokoa.
kufuatia hali hiyo ‘waathirika hao wakiwemo wanawake Bi Kaweresia Akilimali na Bi. Mwajuma Amir wameiomba serikali wilayani mwanga kuwapatia msaada wa haraka wa kurejesha nyumba zao katika hali ya kawaida kutokana na uwezo mdogo walionao wa kipato.
Mwenyekiti wa serikali ya kijiji hicho Bw Kazeni Mcharo amesema kaya za nyumba hizo awali zilihifadhiwa kwenye shule za sekondari za msingi za kijiji hicho lakini sasa wamechukuliwa na ndugu na jamaa kwa muda...insert ya bw kazeni mcharo mwenyekiti wa kijiji cha kileo.
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.