NA ZEPHANIA WA GSENGO TV
SERIKALI imeshauriwa kuondoa vikwazo vya kielimu, kwa watu wenye ulemavu nchini, ili kusaidia jamii hiyo kufikia malengo yao ya kiuchumi.
Kauli hiyo imetolewa na mkurugenzi wa Taasisi ya Kimataifa, ya Josephat Tornner Foundation (JTF), katika SIKU YA KUPAZA SAUTI kuwalinda watoto wenye ulemavu duniani, iliyofanyika wilayani Busega, mkoa wa Simiyu.
Maadhimisho hayo yaliyotanguliwa na maandamano ya wanafunzi, kisha baada ya kutimu saa 5:00 asubihi, Kengele ya kupaza sauti kuungana na mataifa zaidi ya 40, ikapigwa.
Mkuu wa wilaya ya Busega, mkoa wa Simiyu, Tano Mwera naye akatoa maagizo ya Serikali.
Kwa upande wake, Baba mzazi wa mtoto Sundi Masalu, Masalu Boniphace, ambaye tangu mwanaye azaliwe miaka tisa iliyopita hajawahi kupelekwa shuleni.
.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.