Timu ya Taifa ya Vijana wenye umri chini ya miaka 20 ‘Ngorongoro Heroes’ leo imeichapa timu ya vijana wenye umri huo ya Msumbiji mabao 2-1 katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliopigwa katika dimba la Taifa, jijini Dar es Salaam. Tazama hapa mabao yote yaliyofungwa kwenye mchezo huo, huku vijana wa Tanzania wakikosa penati.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.