PICHA VIDEO KUWAJIA HIVI PUNDE
WANAFUNZI ZAIDI YA 28
WA SHULE YA SEKONDARI SIMA ILIYOPO KATA YA SIMA WILAYANI SENGEREMA
WAMEJERUHIWA BAADA YA MVUA ILIYOAMBATANA
NA UPEPO MKALI KUEZUA PAA KWA MADARASA MATATU YA KIDATO CHA KWANZA ILIYONYESHA JANA WILAYANI SENGEREMA
Akizungumza na JEMBE
FM shuleni hapo afisa elimu wa kata ya sima mwalimu SAMWELI MWITA amesema kuwa
tukio hilo limetokea wakati wanafunzi wakiendelea na masomo na wanafunzi walioumia zaidi wamepelekwa
hospitali teule ya wilaya na wengine wamepelekwa zahanati ya sima kwa matibabu.
Sajali na hayo mwalimu MWITA ameiomba SERIKALI NA wadau wa
elimu kufika shuleni hapo na kujionea
uwaribifu na kusaidia kufanya ukarabati
ili wanafunzi waweze kuendelea na masomo.
Kwa upande wake muuguzi wa zahanati ya SIMA bi MONICA
SESTONES amedhibitisha kupokea zaidi ya wanafunzi 28 na hali zao zinaendelea vizuri
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.