ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, February 11, 2018

WAENDESHA BODABODA MWANZA WACHEZEA KICHAPO MARA TATU DHIDI YA POLISI.

NA ZEPHANIA MANDIA WA G.SENGO TV

MWANZA.

JESHI LA POLISI WILAYANI ILEMELA MKOANI HAPA LIMEONYESHA MAKALI YAKE NA KUICHACHAFYA VYEMA TIMU YA WAENDESHA BODABODA KATIKA MCHEZO WA SOKA WA UJIRANI MWEMA ULIOCHEZWA KWENYE DIMBA LA KITANGIRI.

KATIKA MECHI HIYO YA UJIRANI MWEMA ILIYOKUWA NA MSISIMKO WA KIPEKEE HASA UKIZINGATIA WADAU HAO HUKUTANA KATIKA KAZI MARA KWA MARA, HUKU MMOJA AKIWA MSIMAMIZI WA SHERIA NA KANUNI HASA BARABARANI, ILIKUWA NA SHANGWE NA ZOMEA ZOMEA ZA AINA YAKE, LAKINI HADI MWISHO WA MCHEZO NI JESHI LA POLISI NDIYO WALIO IBUKA KUWA WASHINDI.

HADI DAKIKA YA 90 ZINATAMATIKA WAENDESHA  BODA WAMEPEWA KICHAPO CHA MABAO 3, NAO WAENDESHA BODABODA WAKIJIFUTA MACHOZI KWA BAO LAO 1.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.