Asasi ya Mining and Environmental Transformation for Development Organization ( METDO Tanzania) imendelea na Ziara yake kutoa Elimu ya Mazingira na Usalama mahala pa Kazi kwa Wachimbaji wadogo.
Lengo ni kuhakikisha wanafanya uzalishaji wakiwa salama na Mazingira salama.
Serikali imekuwa ikipoteza kodi nyingi kwa wachimbaji wadogo hii ilitokana na kutoweka taratibu katika Halmashauri zote Nchini.
Tunaomba TRA , MADINI ,Wakusanyaji ushuru wa Halmashauri na Wahusika wa Mazingira.
Ili mrabaha 6%* , Kodi TRA 5% na *Pato la Halmashauri *0.3% kodi zote zikusanywe kwa Wachimbaji kwa wakati mmoja
# Tuyatunze* Mazingira yatutunze,Tutumie Rasilimali zetu kwa ajili ya kuinua Uchumi wa Watanzania na kuijenga Tanzania
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.